Burudani : Red Carpet Kwenye Show ya Zari All White Party @Mlimacity Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 3 May 2015

Burudani : Red Carpet Kwenye Show ya Zari All White Party @Mlimacity Jijini Dar es Salaam



Kushoto Niki II na Kulia King Zillah
Kushoto ni Jestina George wa Jestina George Blog akihojiwa katika Red Carpet ya Zari All White Party
Shadee ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
Mnyama TID na Lamar wakihijiwa na Watangazaji wa Clouds Fm na Clouds Tv Shadee na Millard Ayo katika Red Carpet ya Zari All White Party
Watangazaji wa Clouds Fm Bdozen na Millard Ayo, Millard akimhoji mwenzake katika Red Carpet ya Zari All White Party
Yamoto Band wakihojiwa na Millard Ayo katika Red Carpet ya Zari All White Party
Producer wa Diamond Platnumz Shaddy Clever akihojiwa na Clouds Tv na Clouds Fm ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
Capiiiii Capiii Capiitain G Habash ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
Mbunifu wa Mavazi Ally Remtullah ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
Warembo wakipata U Cannon ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
Mpiga Picha wetu DJ Choka ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
Bob Junior ...Producer wa Sharobaro Records ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
Mwanamuziki Keysha akiwa na Mwanahabari na Blogger toka TBN ...Zee la Nyeti... Henry Mdimuz...Le Mdimuzzz
NAVY KENZO ...Aika na Nahreel ndani ya Red Carpet ya Zari All White Party
  

No comments:

Post a Comment