NA.
|
TAREHE
NA SIKU
|
SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA
|
1.
|
JUMAMOSI
na
JUMAPILI
09/05/2015 -10/05/2015
|
Wabunge
kuelekea Dodoma kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali.
|
2.
|
JUMATATU
11/05/2015
Saa 4.00 Asubuhi
Saa 10.00 Jioni
|
· Kikao cha Pamoja
cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti (Ukumbi wa Pius Msekwa)
·
Kikao cha Briefing kwa Wabunge wote
(Ukumbi wa Pius
Msekwa)
|
3.
|
JUMANNE - JUMAMOSI
12/5/2015 - 16/5/2015
|
Mkutano wa
Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo.
(i)
Maswali
;
HOTUBA YA
BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU: (Siku 5)
·
SERA,
URATIBU NA BUNGE.
·
UWEKEZAJI
NA UWEZESHAJI.
·
TAWALA
ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
|
4.
|
JUMATATU
18/5/2015
|
HOTUBA YA
BAJETI YA OFISI YA RAIS:
|
5.
|
JUMANNE
19/5/2015
|
HOTUBA YA
BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA).
|
6.
|
JUMATANO
20/5/2015
|
|
7.
|
ALHAMISI
21/5/2015
|
|
8.
|
IJUMAA
22/5/2015
|
·
Maswali
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
|
9.
|
JUMAMOSI
23/5/2015
|
|
10.
|
JUMATATU
25/5/2015
|
·
Maswali
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA.
|
11.
|
JUMANNE
26/5/2015
|
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
|
12.
|
JUMATANO
27/5/2015
|
·
Maswali
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI
|
13.
|
ALHAMISI
28/5/2015
|
·
Maswali
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
|
14.
|
IJUMAA
29/5/2015
|
·
Maswali
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI.
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.
|
15.
|
JUMAMOSI
30/5/2015
|
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI
|
16.
|
JUMATATU
01/6/2015
|
|
17.
|
JUMANNE
02/6/2015
|
·
Maswali
·
HOTUBA
YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
|
18.
|
JUMATANO
03/6/2015
|
·
Maswali
|
19.
|
ALHAMISI
04/6/2015
|
·
Maswali
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
|
20.
|
IJUMAA
05/6/2015
|
·
Maswali.
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.
|
21
|
JUMAMOSI
06/06/2015
|
|
22.
|
JUMATATU - JUMATANO
08/6/2015 – 10/6/2015
|
Serikali kushauriana na Kamati ya Bajeti Kufanya
Majumuisho kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa
kujadili Bajeti za Wizara;(Siku 3)
|
23.
|
ALHAMISI
11/6/2015
|
·
Maswali
(i)
Waziri
anayehusika na Mipango Kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi.
(ii)
Waziri
wa Fedha Kusoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali.
|
24.
|
IJUMAA
12/6/2015
|
Wajumbe Kusoma na kutafakari Hotuba
ya Bajeti.
|
25.
|
JUMATATU - JUMANNE
15/6/2015 - 23/6/2015
|
·
Maswali
·
MJADALA
KUHUSU BAJETI YA SERIKALI
(Siku 7)
|
26.
|
JUMATANO
24/6/2015
|
·
Maswali
·
Muswada
wa Sheria ya Fedha za Matumizi (The
Appropriation Bill, 2015)
·
Muswada
wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill,
2015)
|
27.
|
ALHAMISI - IJUMAA
25/6 – 26/6/2015
|
·
Maswali
·
Muswada
wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill,
2015)
|
28.
|
JUMAMOSI
27/6/2015
|
KUFUNGA BUNGE
|
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA
DODOMA
-
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza
Kikao c...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment