Teknolojia yetu :Tigo yazindua 4G LTE ya internet jijini Dar leo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 24 April 2015

Teknolojia yetu :Tigo yazindua 4G LTE ya internet jijini Dar leo


Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa akihutubia hivi sasa kwenye uzinduzi wa 4G LTE ya internet inayozinduliwa leo na Kampuni ya Simu za Mikononi ya Tigo, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment