Matukio : Tangazo la Msiba wa Mama Flora Kaaya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 13 April 2015

Matukio : Tangazo la Msiba wa Mama Flora Kaaya



Familia ya Marehemu Freddrick Nicholaus Kaaya wa Mikocheni  Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Flora Kaaya kilichotokea 11/04/2015 katika Hospitali ya TMJ.

Mwili wa Marehemu utaagwa nyumbani kwake Mikocheni siku ya jumatano Aprili 15,2015 kuanzia saa 4 asubuhi.

Mazishi yatafanyika kijiji cha Akheri –Arumeru, Arusha suku ya Alhamisi Aprili 16,2015 saa 4 Asubuhi.

 BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

No comments:

Post a Comment