Matukio :Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amuaga Mwakilishi wa FAO nchini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 24 April 2015

Matukio :Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amuaga Mwakilishi wa FAO nchini


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (F.A.O) nchini Bi. Diana E. Tempelman alipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa Shirika hilo hapa nchini. 
Mhe. Dkt. Mahadhi akizungumza na Bi. Diana kwa kumpongeza kwa uwakilishi wake mzuri wa Shirika la FAO hapa nchini 
Bi. Diana nae akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri kwa Ushirikiano mzuri aliokuwa akiupata kutoka Wizarani wakati wote akiwa hapa nchini. 
Picha na Reginald Philip

No comments:

Post a Comment