Matukio : Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete Aongoza Mazishi ya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Lt. Kanali Mstaafu Benedict Kitenga, Mkoani Morogoro - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 23 April 2015

Matukio : Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete Aongoza Mazishi ya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Lt. Kanali Mstaafu Benedict Kitenga, Mkoani Morogoro


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani kushoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment