Maisha Yetu : Mvua Yasababisha Mafuriko katika Kiwanda cha TPC - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 21 April 2015

Maisha Yetu : Mvua Yasababisha Mafuriko katika Kiwanda cha TPC

Sehemu ya maegesho ya magari katika kiwanda cha sukari cha TPC ikiwa imejaa maji yaliyotokana na mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo.
Eneo la kuegesha gari la zima moto katka kiwanda hicho ikiwa imejaa maji.
Hili si bwawa ni uwanja wa michezo wa Limpopo uliopo katika kiwanda cha sukari cha TPC ,kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mafuriko katika kiwanda hicho pamojana vijiji vya jirani vinavyozunguka kiwanda hicho.
Hivi ndivyo ilivyokuwa ikionekana katika eneo la kiwanda baada ya mvua zilizonyesha usiku wa jana na kusababisha mafuriko katika kiwanda hicho. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA >>>>

No comments:

Post a Comment