Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi
akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni
alipokuwa akikagua mradi huo jana mchana.
Nyumba
za gharama nafuu za NHC Mwongozo, Kigamboni Dar es Salaam
zinavyoonekana wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi
akisikiliza maelezo ya Injinia wa NHC, Elisante Ulomi anayesimamia Mradi
wa Mwongozo Housing Estate jana mchana.
Mojawapo ya Nyumba za gharama nafuu za NHC Kibada, Kigamboni Dar es Salaam.
Waziri
Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada,
Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa jana.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi
akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni
alipokuwa akikagua mradi huo.
Waziri Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo.
Nyumba za mradi mkubwa wa NHC Morocco Square, Dar es Salaam zikiwa zinajengwa katika hatua ya msingi.
Nyumba ya mfano itakayojengwa katika kitalu nambari 300 kona ya kuelekea kwenye Hospitali ya Mikocheni jijini.
Waziri Lukuvi
akipata maelezo ya Nyumba ya mfano itakayojengwa katika kitalu nambari
300 kona ya kuelekea kwenye Hospitali ya Mikocheni jijini, Dar es
Salaam.
Waziri Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za NHC Victoria zinazojengwa na NHC alipokuwa akikagua mradi huo.
Waziri Lukuvi
akipata maelezo ya mradi wa nyumba za NHC Victoria zinazojengwa na NHC
alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa jana.
Waziri Lukuvi akipata maelezo ya mradi wa nyumba za NHC Victoria zinazojengwa na NHC alipokuwa akikagua mradi huo.
Waziri Lukuvi
akipata maelezo ya mradi wa nyumba za NHC Victoria kutoka kwa Mkurugeni
wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa
jana.
Mmojawapo wa mafundi wajenzi wanaojenga nyumba hizo za Victoria akiwa kazini wakati wa ziara ya Waziri.
No comments:
Post a Comment