Watangazaj
wa kituo cha Radio 5 wakimkabidhi dereva wa daladala ya via samunge
stendi
ya daladala Bw, Juma Ramadhani kapu la zawadi za pasaka baada ya
kuibuka mshindi wa kwanza kwa kuwa msikilizaji wa kituo hicho katika
gari lake.,Kulia ni Wilfredy ,Hilda Kinabo na kushoto Mkuu wa vipindi
vya Radio5 Mathew Phillip zoezi hilo lilifanyika leo jijini
Arusha(Habari Picha na http://jamiiblog.co.tz)
Hapa Bw.Juma Ramadhani akifanyiwa mahojiano na watangazaji wa kituo cha Radio 5 leo jijini Arusha
Mama Hadija wa Unga LTD jijini Arusha akiwa anaangalia zawadi la kapu
baadaya kuibuka mshindi kwa kusikiliza Radio 5 kipindi cha taarifa ya
habari na matukio,pembeni ni watoto wakiwa wanashuhudia zawadi hizo
Watangazaji
wa kituo cha Radio 5 wakamkabidhi mshindhi wa pili mama Hadija wa Unga
LTD kapu la zawadi baadaya kuibuka mshindi kwa kusikiliza Radio 5
kipindi cha taarifa ya habari na matukio.
Kulia
ni Hilda Kinabo,kushoto Wilfredy watangazaji mahiri wa kituo cha Radio
5 wakimkabidhi mama Ruthi Sumary mkazi wa Sokon 1 zawadi ya Pasaka
Watangazaji
wa kituo cha Radio 5 wakimkabidhi mshindi wa 3 mama Ruthi Sumary mkazi
wa Sokon 1 Kapu la zawadi ya Pasaka baada ya kuibuka kuwa mshindi wa
kusikiliza kipindi cha mkasa,kulia ni Meneja ubunifu wa Redio 5 Vicky Mwakoyo
Watangazaji
wa Radio 5 wakimkabidhi mshindi wa 3 Bwana Paskal Raimond Wenga kutoka
Olorien Kijenge Kapu la zawadi ya pasaka baada ya kuibuka kuwa mshindi
kwa kusikiliza vipindi vyote vya Radio 5,
No comments:
Post a Comment