Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akilifunguwa Kongamano la
Wanawake na Uongozi katika Katiba inayopendekezwa lililofanyika katika
Ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi akitoa nena la shukrani
kwa Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
mara baada ya kulifungua Kongamano la Wanawake na Uongozi.
Mtangazaji
wa Zamani wa Kituo cha Matangazo ya Televisheni Zanzibar Karume House
Bibi Neema Mussa Maisara akiipitia Katiba iliyopendekezwa kwenye
Kongamano la Wanawake na Uongozi hapo Grand Palace Malingi Mjini
Zanzibar.
Kulia yake ni msanii maarufu Zanzibar Bi Tele, Naibu Katibu Mkuu wa
Wazazi Zanzibar Bibi Salama Aboud Talib na Makamu mwenyekiti Mstaafu wa
UWT Zanzibar Bibi Mvita Mussa Kibendera.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad wa kwanza kulia Bibi
Nasra Moh’d Hilal akiwa pamoja na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi kulia yake wakiipitia Katiba
iliyopendekezwa kwenye Kongamano la Wanawake na Uongozi hapo Grand
Palace Malindi.
Baadhi
ya Wanawake walioshiriki kwenye Kongamano la Wanawake na Uongozi katika
Katiba inayopendekezwa lililoandaliwa na Taasisi ya Mwanaharakati Siti
Binti Saad lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi
Mjini Zanzibar. Picha na - OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment