Burudani : Mwanamuziki nguli wa kitanzania Ali Kiba Atua Arusha kwa Show ndani ya Viwanja vya Triple A - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 7 March 2015

Burudani : Mwanamuziki nguli wa kitanzania Ali Kiba Atua Arusha kwa Show ndani ya Viwanja vya Triple A


Katika Picha ni Ali Kiba akikaribishwa na MD wa Triple A Bw.  Papaa King Mollel ndani ya viwanja vya Triple A jijini Arusha.
Ali Kiba Atua jiji Arusha kupiga show ndani ya Triple A Arusha . Kushoto ni Sebastian Maganga wakizungumza na Mkurugenzi wa Triple A Co. Ltd Bw. Papaa King Mollel ndani ya Viwanja vya Triple A Jijini, Arusha.

No comments:

Post a Comment