Mama
mzazi wa Kapteni David Mpila akiweka udongo katika kaburi la mtoto wake
marehemu David Mpila wakati wa mazishi ya watu sita waliokufa kwa
ajali ya moto baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia
Februari 7.
Waombeleji wakielekea makaburini.
Baadhi ya watu wakielekea makaburini.
Wanafamilia wakiwa na huzuni baada ya miili kuwasili nyumbani
Miili ikiwasili nyumbani.
Miili ikiombewa nyumbani kabla ya kuelekea makaburini kwa mazishi.
Mpumzike kwa amani.
Makamu wa rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilali akitoa heshima za mwisho mbele
ya majeneza yaliyokuwa na miili ya watu sita wa familia moja
waliofariki kwa ajali ya moto.
Mofisa wa Jeshi la wananchi wa tanzania (JWTZ) wakitoa heshima za mwisho.
Majeneza yenye miili ya watu sita wa familia moja
waliofariki kwa ajali ya moto baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto eneo la
Kipunguni ‘A’ jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Februari 7, ambao walizikwa
katika makaburi ya Airwing Ukonga, Dar es Salaam.
Tutawakumbuka daima......
Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya jeneza la marehemu waliofariki katika ajali ya moto wakati wa mazishi yao.
Fatuma Issa ambaye ni mama wa watoto wawili waliofariki katika ajali hiyo akiweka udongo katika makaburi la watoto wake.
Mtoto
pekee aliyenusurika katika ajali hiyo, Emmanuel mpila akiweka udongo
katika kaburi la baba yake, Kapteni mstaafu wa JWTZ, David Mpila.
Mama mzazi wa Kapteni David Mpila akiweka shada la maua.
Fatuma Issa akiweka shada la maua katika makaburi ya watoto wake Celina na Pauline.
Mama wa watoto wawili waliofariki katika ajali ya moto, Fatuma Issa akiweka shada la maua katika kaburi la mtoto wake, Celina.
Emmanuel
Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mototo wake, Pauline,
Emmanuel alipoteza wa toto wawili katika ajali hiyo.
Baba
wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka
shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline
.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua.
No comments:
Post a Comment