Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda (Kushoto) akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau
na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana. Wanaoshuhudia kutoka
kulia, ni naibu waziri wa fedha, Adam Malima, Mwenyekiti wa bodi ya
Mfuko huo, GHeorge Yambesi, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, na
mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Nne
wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF ulioanza leo mjini
Dodoma.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF ,Adam Mayingu kihutubia wakati wa
ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Nne wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF ulioanza leo mjini Dodoma.
Waziri
mkuu Mizengo Pinda (Kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, huku Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko
huo, George Yambesi, (Kulia), na Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa
wakishuhudia, wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 4 wa wanachama na
wadau wa Mfuko huo mjini Dodoma, Jumatano Feb 18, 2015.
Waziri
mkuu Mizengo Pinda, akimpongeza Zainab Khalid, mmoja kati ya wanachama
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, aliyefaidika na mkopo wa elimu ambapo sasa
anasoma chuo kikuu Huria jijini Dar es Salaam. Tukio hilo lilikuwa
sehemu ya ufunghuzi wa mkutano mkuu wan ne wa wadau na wanachama wa
Mfuko huo mjini Dodoma Jumatano Februari 18, 2015.
Baadhi
ya wajumbe wa bodi ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, waliopita na wa sasa,
wakipiga makofi wakati waziri mkuu Mizengo Pinda, wakati akifungua
mkutano mkuu wa Nne wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma,
Jumatano Februari 18, 2015.
Baadhi
wa washiriki wa mkutano mkuu wan ne wa wanachama na wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, mjini Dodoma Jumatano Feb 18, 2015.
No comments:
Post a Comment