Mahusiano na Maisha : Chris Mauki ndani ya Pre - Valentine Day Out ya Wapendanao Feb 13, 2015, Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

3 Feb 2015

Mahusiano na Maisha : Chris Mauki ndani ya Pre - Valentine Day Out ya Wapendanao Feb 13, 2015, Jijini Arusha


Watuwangu wa ARUSHA a.k.a A Town nawajia kwa moyo wa dhati na upendo, Tukutane pale New Arusha Hotel tar 13.2.2015 Ijumaa kuanzia jioni. Nakuta tuzungumze mambo muhimu ya wapendanao na jinsi ya kuboresha mahusiano yetu. Soma details kwenye tangazo hapo juu na kama unaswali usisite kuuliza kupitia namba hizo hapo juu. Hii sio ya kukosa watu wa Arusha. Mwambie na mwenzako

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633