Makamu
wa Pili wa Rais Balozi Zanzibar Seif Ali Iddi akifungua pazia kuashiria
uzinduzi wa Barabara ya Amani- Mtoni kwa awamu ya pili ya ujenzi wake
katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya
Zanzibar. (kushoto alievaa kofia ya pama) Katibu Mkuu Waziri wa
Miundombinu na Mawasiliano Juma Malik Akili.
Makamu
wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua Barabara ya
Mkapa iliopo Amani-Mtoni ikiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Miundombinu na
Mawasiliano Juma Duni Haji.
Baandhi
ya wananchi na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za
uzinduzi wa Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni Mjini Zanzibar.
Waziri
wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji akitoa nasaha fupi na
kumkaribisha Balozi Seif Ali Iddi kutoa hutuba yake wakati wa uzinduzi
wa Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akihutubia katika Sherehe ya
uzinduzi wa Barabara ya Amani-Mtoni ikiwa ni miongoni wa shamra shamra
za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Picha
ya Barabara ya Amani-Mtoni iliyozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais
Balozi Seif Ali Iddi. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment