Mgeni
rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa
hotuba fupi kwa Maofisa wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani) katika
sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. sherehe
hiyo imefanyika Januari 9, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa
Magereza, Ukonga, Jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa neno
fupi kabla ya kumkaribisha rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.
Mathias Chikawe(wa tatu kushoto) atoe hotuba yake (wa kwanza kulia) ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Bw. Daud Msangi(wa pili kulia) ni
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(wa tatu kulia)
ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Bw. Dickson Mwaimu(wa kwanza kushoto) ni
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa) .
Maofisa
wa Jeshi la Magereza pamoja na Wageni waalikwa wakipita mbele ya Mgeni
rasmi kwa ajili ya kutosi glasi za vinywaji katika sherehe ya kuuaga
mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015.
Mgeni
rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akikabidhi
zawadi ya Luninga mmoja wa Maofisa wa Jeshi la Magereza ambaye ni
Mhakiki wa Sanaa na Lugha Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Mrakibu wa
Magereza, Rashid Mtimbe katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na
kuukaribisha mwaka mpya 2015.
Makamanda
na Wapiganaji wa Jeshi la Magereza wakiwa katika sherehe ya kuuaga
mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. sherehe hiyo imefanyika
Januari 9, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza, Ukonga,
Jijini Dar s Salaam.
Maofisa
wa Jeshi la Magereza pamoja na Wageni waalikwa wakisakata rumba katika
sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015.
No comments:
Post a Comment