Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na
waandishi wa katika mkutano uliofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa
mikutano wa ofisi za Wizara hiyo,zilizopo kwenye Mtaa wa Samora,Jijini Dar
es salaam.Waziri Muhongo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo,kufuatia shinikizo la
muda mrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya
Bunge lililopita, lililoagiza serikali kuchukua hatua dhidi yake na wengine
kadhaa kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
TRA YATOA ELIMU MFUMO MPYA WA IDRAS
-
Farida Mangube, Morogoro
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kuanza rasmi matumizi ya Mfumo
Jumuishi wa Usimamizi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Nda...
TRA YATOA ELIMU MFUMO MPYA WA IDRAS
-
Farida Mangube, Morogoro
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kuanza rasmi matumizi ya Mfumo
Jumuishi wa Usimamizi wa Ukusanyaji wa Mapato ya...
No comments:
Post a Comment