Matukio : Mhe. Godbless Lema katika Baraza la Madiwani, Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 3 January 2015

Matukio : Mhe. Godbless Lema katika Baraza la Madiwani, Jijini Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema akizungumza kwenye kikao  cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo 
Diwani wa Kata ya Terat,Jiji la Arusha,Julius Sekayan akijadili hoja ya vifaa vya hospitali vilivyotoweka katika Kituo cha afya Levolosi.
Diwani wa Kata ya Sekei Jiji la Arusha,Crispin Tarimo akijadili hoja ya vifaa vya hospitali vilivyotoweka katika Kituo cha afya Levolosi.
Kikao cha Baraza la Madiwani kikiendelea. Picha Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment