Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwafariji mke na mtoto wa marehemu Mzee Makame Shekha aliyekua
muasisi wa TANU na ASP, alipofika nyumbani kwa marehemu katika kijiji
cha Moga Mpitile Mkoa wa Kaskazini Unguja Januari 07,2015 kwa ajili
ya kufariji na kutoa pole.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mzee Machano Mjombo (102) mmoja kati ya Waasisi
wa TANU na ASP wakati alipomtembelea kijijini kwake Gamba Mabatini Mkoa
wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali Januari 07,2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na wanafamilia ya marehemu Mzee MtumwaKassim, wakati
alipowatembelea kijijini kwao Gamba Sokoni Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa
ajili ya kuwafariji Januari 07,2015. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment