Baada ya ukimya mdogo star kutoka TPF ambaye ametamba na ngoma zake kama Mawazo na Just fo you amerudi tena,"nimeona nifanye kitu kitogo kwaajili ya mashabiki wangu huku nikiendelea kuboresha tamasha la muziki wa hisia,nawapenda sana",anasema Hisia,hii ni ngoma yake mpya inaitwa "Gimme A Call" ikiwa ni mkono wa John Blass wa Grandmaster Records. Sikiliza/Download Gimme A Call hapa; https://mkito.com/song/gimme-a-call/3054
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA UTEKELEZAJI MRADI WA UMWAGILIAJI NYIDA,
SHINYANGA
-
-Ni mradi wa Umwagiliaji unaotekelezwa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
(NIRC)
NIRC Shinyanga
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara Kilimo n...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment