MATUKIO KIMATAIFA : ZIARA YA MHE. MIZENGO PINDA NCHINI POLLAND - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 25 October 2014

demo-image

MATUKIO KIMATAIFA : ZIARA YA MHE. MIZENGO PINDA NCHINI POLLAND


PG4A6721
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014.
PG4A6746
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.
PG4A6761
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek Kloczko,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs), Bibi Katarzyna Kacperczyk na Bwana Jerzy Pietrewiez ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi ya Polland.
PG4A6770
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia jijini Warsaw Oktoba 24, 2014.
PG4A6833
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda cha ROL- BRAT kilichopo Warsaw, Polland akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.
PG4A6897
Waziri Muu, Mizengo Pindaakipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini Polland Bw, Aleksandr Zincman(kushoto) kuhusu usindikaji ngano wakati alipokagua kiwanda cha kusindika unga cha Chojnow nchini Polland akiwa kayika ziara ya kikazi nchini huo Oktoba 24, 2014.
PG4A6900
PG4A7039
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini Polland Bw, Aleksandr Zincman (kulia) wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza maghala ya kuhifadhia nafaka (silos), mashine za kukausha nafaka na mashine za kusafisha nafaka cha Chojnow nchini Polland akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *