Msanii
wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa
akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo
amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa
Kizazi Kipya Linah Sanga.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAONESHO YA WORLD EXPO 2025 OSAKA,
JAPAN
-
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 23, 2025 amewasili Osaka nchini Japan
kumwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maonesho ya
ki...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment