MAISHA YETU : SOPHIA NYAGASHA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 7 October 2014

demo-image

MAISHA YETU : SOPHIA NYAGASHA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA JIJINI DAR


IMG_0389
Mwishoni mwa wiki iliyopita ilikuwa ni sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa Oktoba 4, 2014 kwa mwanadada Sophia Nyagasha ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania (Kulia mwenye nguo nyeupe) ambapo hafla hiyo fupi iliweza kufana ndani ya Kiota cha Maraha cha High Spirit Lounge iliyopo jijini Dar.
IMG_0391
Shangwe za marafiki katika hafla hiyo.
IMG_0393
IMG_0364
Wapendanao nao walikuwepo.
IMG_0373
Ilikuwa ni furaha maana wafanyakazi wa Airtel Tanzania walipokutana pamoja kumpongeza mwenzao.
IMG_0395
IMG_0396
Shampeni ikigawiwa.
IMG_0397
Ilikuwa ni shangwe kwa marafiki ambao waliungana nae.
IMG_0399
IMG_0400
IMG_0403
IMG_0406
IMG_0408
Cheers!
IMG_0410
Tunywe kwa afya...
IMG_0411
IMG_0415
Bibie Sophia Nyagasha akimtambulisha mchumba wake mbele ya marafiki.
IMG_0421
Hapa alikuwa akiteta na mchumba wake.
IMG_0426
Pongezi za mabusu.
IMG_0431
IMG_0435
IMG_0438

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *