
Viongozi wakisimama mguu sawa kwa wimbo wa Taifa baada ya zoezi la kutunuku Shahada

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa mguu sawa kwa wimbo wa Taifa

Majenerali mbalimbali

Makamanda wa Jeshi la Magereza

JWTZ Brass Band ikipiga wimbo wa Taifa

Makamanda wakipiga saluti wakati wimbo wa Taifa ukipigwa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na majanerali

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa wastaafu na wawakilishi

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wastaafu baada ya picha na Watunukiwa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na kamati ya maandalizi

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na wanahabari wa mkoa wa Arusha

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mke wa Rais wa awamu ya Pili Mama Hadija Mwinyi

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ

Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Wazii wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri
Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arush Mhe Magese Mulongo
baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania,
Monduli, Mkoa wa Arusha

Viongozi wa dini

Viongozi wa dini

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi na viongozi wengine

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahada.

Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi
la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mnadhimu Muu wa majeshi ya Ulinzi nchini,
Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba katika sherehe za kutunuku
nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha
Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli

Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi
la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Salum Mustafa Kijuu

Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi
la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Joseph Furaha Kapwani . PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment