AFYA NA UCHUMI : MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA), YAJIPANGA KUIKABILI EBOLA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday, 15 September 2014

AFYA NA UCHUMI : MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA), YAJIPANGA KUIKABILI EBOLA

Dkt. Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza jambo kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kukabiliana na Ebola.
Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam kutoka vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi wakifuatilia mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Ebola na kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.
Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wakifuatilia mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Ebola na kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.

Dkt. Simon Ntabaguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kuvaa na kuvua vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya Ebola kwa watumishi wa afya.

No comments:

Post a Comment