UBUNIFU : NYUMBA ILIYOJENGWA JUU CHINI, CHINI JUU HUKO, CANADA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 21 August 2014

UBUNIFU : NYUMBA ILIYOJENGWA JUU CHINI, CHINI JUU HUKO, CANADA

Nyumba imejengwa kwa ubunifu wa hali ya juu, kwa kuweka PAA chini na chini kuwa juu huko Niagara Ontario , nchini Canada. Ni maajabu ila ni ubunifu wa hali ya juu.

Jamaa akikatiza kwenye hiyo nyumba ya ajabu huko Canada.
Muonekano wa Nyumba ilivyo.

No comments:

Post a Comment