Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake ya ufunguzi wakati akifungua Kongamano la siku tatu la Kimataifa la
Wanasayansi Vijana, linalojadili masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini,
linaloendelea kwenye Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini
Dar es Salaam, ambapo Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Kongamano hilo la tatu
la Kimataifa la Mtandao wa Wanasayansi
Vijana Duniani (YES). Aidha Kongamano hilo lililoshirikisha jumla ya
wajumbe zaidi ya 300 kutoka ndani na nje ya nchi pia, litajadili usimamizi wa
Rasilimali mbalimbali zikiwemo Mafuta na Gesi.
Mstaafu
wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa, akizungumza katika Kongamano hilo
kabla ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri
wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, akizungumza katika Kongamano hilo
kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, kufungua kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya sanamu la mnyama kutoka kwa Rais wa wa Mtandao wa
Wanasayansi Vijana Duniani (YES), Meng Wang, baada ya kufungua rasmi Kongamano
hilo, la siku tatu la Kimataifa la Wanasayansi Vijana, linalojadili masuala
mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini, linaloendelea kwenye Ukumbi wa mikutano
wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa
Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa, akipokea zawadi ya picha ya
mnyama kutoka kwa Rais wa wa Mtandao wa Wanasayansi Vijana Duniani (YES), Meng
Wang, wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano hilo, la siku tatu la Kimataifa la
Wanasayansi Vijana, linalojadili masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini,
linaloendelea kwenye Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini
Dar es Salaam. Katikati ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) ni
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi ya ramani ya Afrika,
Rais wa wa Mtandao wa Wanasayansi Vijana Duniani (YES), Meng Wang, baada ya
kufungua rasmi Kongamano hilo, la siku tatu la Kimataifa la Wanasayansi Vijana,
linalojadili masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini, linaloendelea
kwenye Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, baada ya
ufunguzi.
No comments:
Post a Comment