Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi
(Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu
amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Assis, mjini Biharamulo, Kagera.
Mr&Mrs Dotto na wapambe wao Mr&Mrs Frank katika
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera.
Bibi Harusi akiwa na mpambe wake katika
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Mr&Mrs Dotto, wapambe wao Mr&Mrs Frank, pamoja na wasimamizi wa ndoa hiyo Mr&Mrs Wema Rusasa katika
pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Bibi Harusi na Mameid
Mr&Mrs Dotto (Mandolin) na wapambe wao Mr&Mrs Frank katika
picha ya pamoja na wazazi wa pande zote mbili
Maharusi wakiwa na wapambe wengine
Bwana harusi ni Baunsa sana tu
Mr&Mrs
Dotto Paul (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ndugu
zao, kutoka kulia ni Mdogo wa bwana harusi Samweli, Kaka wa bibi harusi
Deogratius, kaka wa bwana harusi Peter Kulwa na kaka wa bibi harusi
Raygan
Bwana
Harusi Dotto Paul na Bibi Harusi Elizabeth Riziki wakila kiapo wakati
wa misa ya ndoa iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya
Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Tumepokea vyeti
Mr&Mrs Dotto Paul wanameremeta
Mr&Mrs
Dotto Paul katika picha ya pamoja na kamati ya harusi yao iliyofanyika
kwenye ukumbi wa Rest mjini, Biharamulo, Kagera
Utambulisho
No comments:
Post a Comment