Waziri
wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za
kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na
wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa
leo ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale
yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara ya kuelekea Dar
es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi kulia
akimkaribisha Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Kufungua
Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Waziri
wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifunguwa pazia la jiwe la msini
wakati wa kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa akimpongeza Waziri Magufuli
Magari
yakipita katika mataa mara baada ya Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe
Magufuli Kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma katika
makutano ya barabara ya Nyerere na Mpwapwa.
|
Vikundi
vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea
magari mjini Dodoma.(Mhe.Maguguli ambaye alipitia JKT Makutopora
amewazawadia Shilingi laki tatu baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi
hivyo.
Vikundi
vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea
magari mjini Dodoma.(Mhe.Maguguli ambaye alipitia JKT Makutopora
amewazawadia Shilingi laki tatu Baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi
hivyo.
Ngoma
Kwaya
Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.

wa Ujenzi Dkt.John Magufuli kizungumzia mrani wa mataa ya kuongozea
magari pamoja na uboreshwaji wa miundo mbinu kwa Mji wa Dodoma kuelekea
Changamoto za kuwa jiji. |
No comments:
Post a Comment