SIASA ZA BONGO : UKAWA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM LEO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 31 July 2014

SIASA ZA BONGO : UKAWA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni.kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema,Mh. Freeman Mbowe na wa pili kulia ni Mwenyeti wa NCCR-Mageuzi,Mh. James Mbatia.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema,Dkt. Wilbrod Slaa.

No comments:

Post a Comment