KAMA BADO HUJALIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULIKE UKURASA WETU KWA KUFUATA KIUNGANISHI HIKI
https://www.facebook.com/tztmt ukishalike ukurasa wetu fuata hatua hizo chini

Ukurasa
wetu ukifunguka Unaonekana kama Picha inavyoonyesha juu hapo Utafata
hatua ya Kwanza kama ilivyoonyeshwa kwenye picha hizo.




Ukishamaliza
kumpigia kura mshiriki umpendae kwa kubofya kitufe kilichoandikwa VOTE
utapokea ujumbe mfupi kwenye kioo chako na utakuwa tayari ushampigia
kura
Hatimae
Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) hapo Jana limezindua huduma
ya kuwawezesha Watazamaji wa Vipindi vya TMT pamoja na wapenzi wa
Shindano hilo huduma ya kumpigia kura mshiriki au washiriki wanaowavutia
kupitia ukurasa wa facebook wa TMT, Hatua hiyo imekuja mara baada ya
kuona kuwa Shindano hili limetokea kuwa kivutio kikubwa cha Watanzania
wengi waliopo ndani na nje ya Nchini ambao wanafuatilia kwa Ukaribu sana
shindano hili na hatimaye wengine kukosa nafasi ya kuwapigia kura
washiriki wanaowavutia kutokana na Kushindwa kutumia huduma ya SMS. Kwa
kuona umuhimu wa watazamaji wetu TMT ikaamua kuleta huduma hii karibu
ili kuwawezesha watazamaji na wapenzi wengi wa TMT kuweza kuwapigia kura
washiriki wawapendao. Sasa Watazamaji wa TMT wanaweza kuwapigia Kura
washiriki kwa Kufuata Hatua hizi Hapo Juu
No comments:
Post a Comment