CHADEMA ARUSHA: UCHAGUZI WA CHADEMA JIMBO LA ARUSHA KUFANYIKA LEO, JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 26 July 2014

CHADEMA ARUSHA: UCHAGUZI WA CHADEMA JIMBO LA ARUSHA KUFANYIKA LEO, JIJINI ARUSHA

 Mbunge Mhe. Godbless Lema akiingia kwenye ukumbi kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa majimbo katika Hoteli ya Manor, Sakina Arusha.
 Muasisi wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei akiingia kwenye ukumbi kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa majimbo katika Hoteli ya Manor, Sakina Arusha.
 Mhe. Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akipata mawili matatu toka kwa mgombea wa nafsi mojawapo Bi. Glory Kaaya ukumbi kabla ya kuanza kwa uchaguzi,katika Hoteli ya Manor, Sakina Arusha.




Kushoto ni Seria Tumainiel, Emma, Glory Kaaya wakiwa katika eneo la tukio, kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa majimbo katika Hoteli ya Manor, Sakina Arusha. 

RATIBA
Event: Uchaguzi wa CHADEMA JIMBO LA ARUSHA MJINI
Ukumbi: "MANA HOTEL"-SAKINA, mkabala na SAKINA SUPERMAKERT, Nairobi road
 

Day: Jumamosi 26-07-2014 kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Time/Muda: 3:30 Asubuhi-11:30 Jioni.
 

Mada: Uchaguzi wa Viongozi wa Mabaraza & CHAMA ngazi ya Jimbo.
 

Wageni rasmi: Menyekiti wa Taifa Mh.Feeman A.Mbowe &Muasisi wa CHAMA Mzee Edwin Mtey.
 

Wakazi wa Manispaa ya Jiji la Arusha mnakaribishwa sana.
Kwa mawasiliano zaidi; 0753-021761, 0758-976260
Barua pepe: jenimwasha@gmail.com
Hii sio ya kukosa kabisa Makamanda.

No comments:

Post a Comment