Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano Maalum wa Nchi
za Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa
vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji, uliofanyika kwenye
hoteli ya Kempinski jijini Nairobi Julai 24, 2014. Kushoto ni Balozi wa
Tanzania nchini Kenya, Batilda Burian na wapili kushoto ni Waziri wa Kazi
na Ajira, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
-
*Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025,
yenye kaulimbiu "Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na
Uwezeshaji”...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment