| Matembezi yakaanza katika nyika eneo la Sanya Juu |
| Wageni hawa nao kutoka Australia walishiriki matembezi hayo |
| Mwendo ulipokolea na makoto yalivuliwa ili kuwa na wepesi zaidi. |
| Watembeaji wakipumzika kidogo kabla ya kuendelea na matembezi. |
| Kundi kubwa la nyuki liliwafanya watembeaji kuinama kwa muda kupisha nyuki wapite. |
| Bi. Raabia Hawa akifuta machozi baada ya kuguswa na hotuba ya Waziri Nyalandu kuhusu askari aliyepoteza maisha yake katika Pori la Akiba la Maswa kwa kuuwawa na Majangili. |
| Watembeaji katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu. |
No comments:
Post a Comment