JAMII ZETU:SHULE YA JAMII YA WAMAASAI WILAYANI HAI YAPIGA MAENDELEO YA KASI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 24 June 2014

demo-image

JAMII ZETU:SHULE YA JAMII YA WAMAASAI WILAYANI HAI YAPIGA MAENDELEO YA KASI


unnamed+%281%29
 Siku maalumu ya shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza kwa watoto wa jamii ya Kimaasai iliyopo katika kijiji cha Sanya Stesheni wilayani Hai ya The O'Brien School for the Maasai.  Pichani Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akihutubia wazazi,wanafunzi na wageni waalikwa katika siku ya shule ya The O'Brien School for the Maasai.
unnamed+%283%29
 Diwani wa kata ya Kia,Sinyoki Ole Nairuki akiwatambulisha wageni mbalimbali katika sherehe za siku ya shule ya O'Brien
unnamed+%284%29
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akizungumza na mfadhili wa shule ya O,Brien Bibi Kellie O'Brien
unnamed+%287%29
Buruduni mbalimbali za ngomba za asili zikiendelea

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *