Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Venance Mwamoto
(kushoto) akipozi na Bondia Ibrahimu ‘King Class Mawe’ na mashabiki wake baada
ya kumpokea aliporejea nchini na mkanda wa WPBF, kwa kumchapa mpinzani wake.
Mzambia Mwansa Kabinga, kwa K/O katika raundi ya 9, na kufanikiwa
kunyakuwa ubingwa huo. Wa pili (kushoto) ni bondia Shomari Milundi,
(kulia) ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Yaj Msangi, wadau Bilali
Ngonyani na Rogers Masamu.
MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA YAANZA RASMI JIJINI TANGA
-
Kaimu Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha,
Bi. Dionisia Mjema, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Usagara
wali...
56 minutes ago
No comments:
Post a Comment