WAFANYE WATABASAMU : PONGEZI ZATOLEWA KWA TAASISI MBALI MBALI NA BW. NATHAN MPANGALA(KATUNISTI) - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 6 May 2014

WAFANYE WATABASAMU : PONGEZI ZATOLEWA KWA TAASISI MBALI MBALI NA BW. NATHAN MPANGALA(KATUNISTI)


Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Pongwe, Tanga, wakipanga mkakati jana (5.5.2014). Shule hii ni moja ya shule zenye wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Pongezi serikali, uongozi wa shule, taasisi binafsi, vyombo vya habari na jamii kwa kuhakikisha wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi wanakuwa salama. — in Tanga. Na Nathan Mpangala

No comments:

Post a Comment