SIKU YA WAUGUZI : RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI, JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 12 May 2014

SIKU YA WAUGUZI : RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI, JIJINI ARUSHA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi  wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi,wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo.
 Wakimsikiliza Rais Jakaya wakati akihutubia.
 Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment