| Meneja wa TTB tawi la Arusha, Willy Lyimo akimpa mkono mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya huduma ya kwanza. |
| Mgeni Rasmi, Katibu Tawala wa wilaya ya Arumeru, Evaliliana francis akiwatunuku wajhitimu wa mafunzo ya huduma ya kwanza iliyotolewa na Red Cross kwa kushirikiana na KGA |
| Mhazini wa KGA, Gerald Francis baada ya kukabidhiwa cheti chake |
| Katika picha ya Pamoja |
No comments:
Post a Comment