KUTOKA BUNGENI :WABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

27 May 2014

KUTOKA BUNGENI :WABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA

 
Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta  akisoma Bungeni hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015. Bajeti hiyo ilijadiliwa na kupitishwa na Bunge. Bajeti hiyo pia ilisikilizwa na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliokuwepo Bungeni siku hiyo. 
Mbunge Shy-Rose Bhanji (kushoto) akiwa na wabunge wa Bunge la Muungano.
Shy-Rose Bhanji akizungumza na Mbunge Mwenzake wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere. 

Picha ya pamoja na baadhi yua Wabunge na mawaziri wa Bunge la Muungano. 
Makongoro Nyerere na Mheshimiwa Wasira.

Picha na Wabunge mbalimbali

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633