DUNIANI KUNA MAMBO : CHATU ALIYEWASUMBUA WANANCHI WA JIJI LA MBEYA AKAMATWA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

27 May 2014

DUNIANI KUNA MAMBO : CHATU ALIYEWASUMBUA WANANCHI WA JIJI LA MBEYA AKAMATWA




Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..
Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka





Mtaalamu wa Kukamata Nyoka





Mtaalamu wa Kukamata Nyoka

Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia



Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo.... Tazama Video Hii

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633