KIMATAIFA ZAIDI : MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 12 May 2014

KIMATAIFA ZAIDI : MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC



 Mmoja ya waandaaji wa matembezi ya Susan G. Komen ya saratani ya matiti akielezea jambo kabla ya kuanza kwa mbio kwa ajili ya mapambano ya Saratani hiyo hatari kwa akina mama ambayo Team Tanzania imeshiriki kwa mwaka watatu mfululizo.
 wanandugu wa Susan G. Komen wakiadhimisha siku ya dada yao kwenye maadhimisho ya mbio za saratani ya matiti zilizofanyika Jumamosi May 10, 2014 Washington, DC na mbio zilikuwa za maili 5.
Mmoja wa wanusurika wa Saratani ya matiti akitoa ushuhuda wake kwenye mbio za Susan G. Komeni zilizofanyika Jumamosi May 10, 2014 Washington, DC.
Watanzania wa DC walioshiriki mbio hizo.
Tim Tanzania katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mbio hizo.
Timu Tanzania ikiwa imemaliza maili 2 ya mbio hizo.
Timu Tanzania ikiwa imemaliza maili 3 ya mbio hizo.
Mmarekani mwingine aliyewahi tembelea Tanzania kaipata picha ya pamoja na Iska Jojo na Pius Mtalemwa.
 Timu Tanzania katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za maili tano. Picha na Vijimambo

No comments:

Post a Comment