Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji superstar Diamond Platnumz
mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye
kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha yake
kupitia hapa hapa Jestina George online TV. Check him out below.
ABDI AKAGUA UHAI WA CCM JIMBO LA PANGAWE
-
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndugu Abdi Mahamoud Abdi, amewasili
katika Jimbo la Pangawe, Zanzibar, kwa ajili ya kukagua uhai wa Chama Cha
Mapinduzi ...
1 minute ago
No comments:
Post a Comment