Katibu
Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa
miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara
wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika kwenye Viwanja vya
Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka
Wananchi wa Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali
kwa lengo la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali
katika Mchakato wa Katiba Mpya.
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiendelea kuwahutubia wananchi wa
Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa
Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika kwenye Viwanja
vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Ndg. Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi
wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano
wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika kwenye
Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Katibu
wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akiwapa somo wananchi wa
Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa
Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika kwenye Viwanja
vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akiendelea kuzungumza.
Makamu
Mwenyekiti UWT,Bi. Asha Bakari Makame akizungumza kwa msisitizo mkubwa
na wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi
kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Naibu
Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar,Ndg. Shaka Hamdu Shaka akizungumza machache
na wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi
kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Vijana
wa CCM, Fatma Juma Ramadhan (kushoto) na Halima Juma Hajj wakighani
mashairi mazuri ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman
Kinana (hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment