KUWA MAKINI MJINI:POLISI FEKI AKAMATWA KABLA YA KUTEKELEZA UHALIFU ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 4 April 2014

KUWA MAKINI MJINI:POLISI FEKI AKAMATWA KABLA YA KUTEKELEZA UHALIFU ARUSHA

Mama huyu ambae sikuweza kupata jina lake kwa haraka akiwa kwenye gari la polisi baada ya kujaribu kumtapeli mzee mmoja akisaidiana na Mwanaume mwingine aliyetokomea kusikojulikana baada ya mbinu yao kushtukiwa.

No comments:

Post a Comment