KAMPENI ZA LALA SALAMA: NAPE , NCHEMBA WAMUINUA RIDHIWANI KIKWETE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 5 April 2014

KAMPENI ZA LALA SALAMA: NAPE , NCHEMBA WAMUINUA RIDHIWANI KIKWETE


Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa Kampeniza lala salama zilizofanyika leo April 4,2014,katika Uwanja wa Shule ya Msingi Pera,iliyopo kwenye Kata ya Pera,Chalinze.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya Pera,pamoja na kunadi sera zake leo April 4,2014.
Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akitema cheche zake wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,leo April 4,2014.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye akiweka sawa taratibu za Mkutano wa Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,leo April 4,2014.

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadiwa kwa wananchi wa Chalinze na Mkewe,Arafa Kikwete.

No comments:

Post a Comment