MIUNDOMBINU : SERIKALI KUJENGA BANDARI YA MWAMBANI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 29 March 2014

demo-image

MIUNDOMBINU : SERIKALI KUJENGA BANDARI YA MWAMBANI

A
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Freddy Liundi (wa pili kutoka kushoto) akitoa maelezo juu ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Bandari ya Mwambani kwa kiongozi wa timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo  kutoka Tume ya Mipango ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia Kongane ya Sekta za Uzalishaji, Bw. Maduka Kessy.
B
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga akionesha eneo ambapo bandari ya Mwambani itajengwa.
C
Picha ikionesha eneo la mwambani ambako ndipo miundombinu ya bandari itajengwa
D
imu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Bw. Freddy Liundi (wa pili kulia) ufukweni mwa bahari, eneo ambapo bandari ya Mwambani itajengwa. Picha na Joyce Mkinga

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *