CHADEMA : ALLY BANANGA ASHINDA UDIWANI KATA YA SOMBETINI , JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 9 February 2014

CHADEMA : ALLY BANANGA ASHINDA UDIWANI KATA YA SOMBETINI , JIJINI ARUSHA

Kamanda Daniel Urioh mpambanaji wa Olasiti na Diwani mpya wa kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga wakishangilia ushindi huo.
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA katika kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga :Picha na Maktaba.

 Mgombea udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bw. Ally Bananga katika kata ya Sombetini jijini Arusha ,atangazwa Mshindi kwa kura 2564 na kumbwaga chini mgombea mwenzake wa Chama cha Mapinduzi Bw. David .L. Mollel aliyepata kura 2098 na Mgombea wa Chama cha CUF nae akaambulia kura 37.

Wafuasi wa Chadema wakishangilia

 Wafuasi wa Chadema wakishangilia
Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kipigo alichopewa na Polisi wakati akishangila matokeo na wafuasi kabla matokeo rasmi hayajatangazwa

No comments:

Post a Comment