MATAPELI : MAMA MMOJA ATAPELIWA MILIONI 5 MJINI MOSHI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

21 Feb 2014

MATAPELI : MAMA MMOJA ATAPELIWA MILIONI 5 MJINI MOSHI

Mama akilia kwa uchungu.
Msamaria Mwema aliyefika katika eneo la tukio na kujitolea kumpeleka Mwanamke huyo katika kituo cha Polisi cha Kati cha Mjini Moshi.
Mama akisimulia tukio zima kwa wananchi waliofika katika eneo la tukio baada ya kumsikia akipinga ukunga kuomba msaada.
Msamaria Mwema aliyefika katika eneo la tukio na kujitolea kumpeleka Mwanamke huyo katika kituo cha Polisi cha Kati cha Mjini Moshi.
Bi. Shembusho akipanda gari la Msamaria Mwema aliyejitolea kumpeleka Polisi kutoa taarifa hizo. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad