MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA : KAMATI YA ARDHI ,MALIASILI NA MAZINGIRA IKIONGOZWA NA MHE. JAMES LEMBELI YATEMBELEA HIFADHI YA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 6 February 2014

MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA : KAMATI YA ARDHI ,MALIASILI NA MAZINGIRA IKIONGOZWA NA MHE. JAMES LEMBELI YATEMBELEA HIFADHI YA ARUSHA


Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA).
Baadhi ya watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mh Mahamud Mgimwa akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Kikao cha kamati ya ardhi,malasili na mazingira na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,malaisili na mazingira,Mh James Lembeli akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira Mh ,Ester Bulaya akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Humud Abdi Jumaa akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.Kwa picha zaidi Bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment